Acts 4:35-37

35 awakaiweka miguuni pa mitume, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake.

36 bYusufu, Mlawi kutoka Kipro, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake Mwana wa Faraja), 37 caliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume.
Copyright information for SwhKC